Not yet registered? Create a OverBlog!

Create my blog

geraldmutarubukwa.over-blog.com

geraldmutarubukwa.over-blog.com

Mimi ni padre wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Tanzania. Nilipadirishwa mwaka 2004. Nikafanya kazi katika Parokia ya Rutabo hadi mwaka 2006, nilipoenda masomo Roma. Kwa sasa nipo Catholic University of Eastern Africa Nairobi.
Associated tags : liturjia (liturgy)

Blogs

liturjia-takatifu.over-blog.com's name

liturjia-takatifu.over-blog.com's name

Hii blog ni kwa ajili ya kuitikia mwaliko wa Mtaguso wa pili wa Vatikano wa kuwafanya wakatoliki wote waifahamu liturjia takatifu wanayoiadhimisha. Nitatoa utafiti wangu juu ya liturjia na nitakuwa tayari kujibu maswali yenu juu ya liturjia. Karibuni sana!The aim of this blog is to impart liturgical knowledge to the people of God. It targets mainly the people from the swahili speaking countries. Welcome for the sharing of knowledge about our liturgy!
geraldmutarubukwa.over-blog.com geraldmutarubukwa.over-blog.com
Articles : 10
Since : 07/07/2010
Category : Religions & Beliefs

Articles to discover

Liturjia ni nini?

Liturjia ni nini?

Liturjia na Elimu katika Liturjia ni nini? Leo nina mambo mawili ya kuzungumzia na kushirikishana kwa ufupi tu. Kwanza ni kueleza undani wa Liturjia na pili kueleza kile mtu anachofanya anapojifunza kuhusu liturjia. Nilikuwa siku moja natembea natembea hapo CUEA ( The Catholic University of Eastern Africa ) huko Nairobi, mtu mmoja akatambulishwa kw
Mwaka wa Kanisa

Mwaka wa Kanisa

Mwaka wa Kanisa [1] (Sehemu ya kwanza) Mwaka wa Kanisa ni maadhimisho ya Matendo makuu ya Ukombozi wetu katika kipindi cha mwaka mzima.[2] Mungu ametukomboa na utumwa wa dhambi kwa kumtuma Mwanae mpenzi Bwana wetu Yesu Kristu. Kristu ametukomboa kwa kukubali kuupokea Msalaba, yaani Mateso na Kifo na baada ya siku tatu Kufufuka. Kwa hiyo, kiini au m
Sherehe ya Bwana wetu Yesu Kristu Mfalme

Sherehe ya Bwana wetu Yesu Kristu Mfalme

Sherehe ya Bwana wetu Yesu Kristu Mfalme Jumapili ya 34 ya Mwaka Kesho tunaadhimisha sherehe ya Bwana wetu Yesu Kristu Mfalme. Sherehe hii uangukia Jumapili ya mwisho ya mwaka wa Kanisa, yaani Jumapili ya 34 ya mwaka. Baada ya juma tunalolianza kesho tutaanza kipindi cha majilio. Tutakuwa pia tumeanza mwaka mpya wa Kanisa. Kwa ufupi tu tuzungumzie

Elimu ya Mambo ya Kiliturjia

Masomo ya Liturjia: mwanafunzi au mtaalamu mambo ya Liturjia anafanya nini? Mwanafunzi au mtaalamu wa mambo ya liturjia anatafuta kujua zaidi undani wa teolojia ya Liturjia, uhusiano wake na shughuli za kichungaji, chanzo, maendeleo na mabadiliko yake katika historia, sheria na taratibu zinaongoza Liturjia, na liturjia na maisha ya kiroho (Rejea Sa
Misa ya Kiafrika Ujerumani au "Die afrikanische Messe"

Misa ya Kiafrika Ujerumani au "Die afrikanische Messe"

Natimiza ahadi yangu ya kukuletea habari juu ya Misa ya Kiafrika huko Ujerumani, ijulikanayo zaidi kama "Afrikanische Messe". Baada ya kusoma habari hii utaweza kujua kwa nini Misa hii inaitwa "Afrikanische". Tarehe 1 Agosti 2010 tumeadhimisha Misa hapa Wolfenbuettel, katika kanisa la parokia la Mt. Petro. Kila kitu kilikuwa kama tulivyokuwa tumepa
Kwa ndugu zangu wapendwa katika Kristu!

Kwa ndugu zangu wapendwa katika Kristu!

Wapendwa katika Kristu, Nawakaribisha kwa moyo mkunjufu katika blog hii inayozungumzia mambo ya liturjia. Nitajitahidi sana kila siku kuweka jambo jipya linaelimisha na kufunza juu ya imani yetu na zaidi juu ya liturjia takatifu. Katika blog hii nitatumia zaidi lugha ya Kiswahili, Kihaya na Kiingereza. Nikipata habari njema katika lugha nyingine ku

Namaliza uzembe na kurudi ulingoni!!

Wapendwa wasomaji na wote mnaotembelea blog yangu ya "ijue liturjia takatifu", Nawaomba sana msamaha kwa kutoandika article au web page yoyote kwa kipindi cha mwaka mzima hivi. Ni uzembe mbaya ambao kwa kweli inabidi niombe msamaha na kujitahidi kuushinda. Nitaanza tena kuandika katika blog hii baada ya kuona kwamba kuna watu ambao bado wanasoma bl

MASOMO YA MISA

Ndugu wapendwa naomba msamaha kwa kutoweka masomo ya Misa ya kila siku katika blog hii kwa muda mrefu. Sababu nilikuwa nimeiweka wazi. Sasa nimefika nyumbani na nina vitabu muhimu kwa ajili ya kazi hiyo. Nimeanza jana kuweka Masomo ya Misa kutoka Kitabu cha Masomo. Nitaendelea kufanya hivyo kwa siku zijazo. Nawatakia usomaji mwema na tafakari njema

Misa Maalum ya Kiafrika Ujerumani

Kesho tarehe 1 Agosti 2010 katika Kanisa la Parokia ya Mt. Petro mjini Wolfenbuettel, Ujerumani, kutakuwa na adhimisho maalum la Ekaristi Takatifu lijulikanalo kama "Afrikanische Messe" yaani Misa ya kiafrika. Itakuwa kesho saa 5 asubuhi na kuendelea. Hii kwangu ni mara ya tatu kuwa na adhimisho kama hili hapa. Baada ya Misa tunakuwa na mlo wa pamo
Machweo ya jua huko Kifuru Dar es Salaam: Mtazamo wa Muda na Mazingira yetu

Machweo ya jua huko Kifuru Dar es Salaam: Mtazamo wa Muda na Mazingira yetu

Mungu ametubariki sana watanzania na waafrika kwa ujumla. Unaona jinsi jua linavyotoka kwa muda muafaka na kuzama kwa muda muafaka. Summer hii nipo Ujerumani kwenye mji ujilikanao kama Wolfenbüttel. Watu ni wema na wanapenda sana watanzania na nchi yetu ya Tanzania. Kila mwaka tunakuwa na Misa ijulikanayo kama "Afrikanische Messe". Kwenye hii Misa