keep on trying yes you can never judge yourself as inferior.
Asoraell Ayo
/image%2F1663146%2F20150621%2Fob_2c683e_received-557011097770153.jpeg)
Asoraell Ayo
Asoraell Ayo was Born in 15/08/1993 King'ori Village Meru Arusha and he got his primary education at kwatulele promary school and Endulen primary school in Ngorongoro and his secondary education at Makuyuni boys secondary school and finally he completed his advanced levelof education at Moshi secon
Blogs
Articles to discover
Hekima inasaidia watu kufanya mamuzi sahihi. Lakini pia Busara inasadia watu kufikiria jambo kwa undani zaidi hata kupata ukweli wake. (MATHAYO 13:53-54) Baada ya Yesu Kristo kuimaliza mifano yake katika MATHAYO 13:3-52, alitoka akaenda zake, na kuzidi kufundisha katika nchi yake. Kila aliyemsikia Yesu, alishangaa KWANZA juu ya HEKIMA yake kabla ha
/image%2F1663146%2FobpicQfc4hx.png)
NA WATANZANI Wakati lowasa anaijiuzulu kwa kashfa ya richmond wengi tuliamini amemalizika kisiasa .mvumo wa ufisadi aliobambikiwa umempandisha chati . Kwenye bunge . Alipokuwa akisimama bunge huzizima kwa furaha. Bunge la Makinda Alipokuwa anatafuta wadhamini alipata wadhamini wengi na mikusanyiko ya wanaccm kupitia ccm Wakati wa mkutano mkuu lowas
/image%2F1663146%2Fobpicpp8Gac.png)
vijana wengi ambao watapiga kura mwaka huu ni wale ambao hakuwahi kupiga kura tena. Hivyo kupunguza idadi ya kura zitakazoharibika elimu kwenye vyombo vya habari zitolewe kuwasaidia hawa. Hata hivyo watu wenye uzoefu katika hili waelimishe wenzao mitaani wanapokuwa na nafasi.
3.Mara zote uliza kwa waliofanikiwa kuwa mtu wa kuishi kwa mipago usikurupuke katika mambo yako.
Habari za mchana huu wapendwa na ndugu wasoimaji wa blog hii yangu nazuidi kuwaomba mzidi kupitia account hii ili kujifunza mengi japoo mapaka sasa acount hii iko kwenye matengenezo. Lakini hakuna tatizo la kukufanya wewe ushindwe kuendelea kupitia ukrasa huu kila siku kwa kujifunza mengi zaidi. waKO ASORAELL AYO
✌✌✌✌✌✌✌✌ ------------------ Nimevumilia sana lakini acha sasa nisieme. Kidemokrasia kwa maana wanachi wanaruhusiwa kuwa wachanguaji wa maswala yao binafsi Ambao watu wachache ndiyo wenye mamlaka na maamuzi ya taifa au kundi kubwa la watu pasi na kujali maamuzi ya watu wao. Utawala wa theokrasia Huu ni utawala ambao kila mtu anaweza
/image%2F1663146%2FobpictsofKp.png)
sina Lugha sahihi ya kusema lakini Bwana nasema Ahsante kwa wema wako na ukarimu wako ambao wewe umenikirimia mpaka sasa nafikia hatua hii. Sii kwa nguvu wala uwezo wangu ila kwa mapenzi yako tuu Bwana. I was in a tunnel And couldn't see the light And whenever I'd look up I couldn't see the sky Sometimes when I'm standin' It seems like I done walke
Mungu nakushukuru sana maana wewe ni Mungu wa majira na wakati na wewe ni Mungu am baye huwatafuta sana watumishi wako ili uweze kuzikamilisha ahadiu zako wa watu wangu mpaka sasa nashukuru sana maana umenisaida sana na hatimaye nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma. Mungu wewe ni pekeee sana na Unajibu kwa namna ya ajabu sana maombi yetu
Nakuambia, nimechoka matusi na udhalilishaji unaotolewa na walio madarakani dhidi ya mtu yeyote ambaye anakuwa tishio kwake. Nimechoka majina ya kughushi, na katuni za kughushi, na maneno ya kughushi bila hatua yoyote kuchukuliwa ndani ya mitandao ya jamii. Nimechoka jinsi ambavyo kila taasisi ya serikali inatumika kulinda mfumo uliopo kwa kisingiz