Not yet registered? Create a OverBlog!

Create my blog
Tabasamu na Ommy

Tabasamu na Ommy

Blogs

Habari,Michezo na Burudani 24HRS

TUZUNGUMZE SOTE, TUFARAHI SOTE /CEO 255653190263
Tabasamu na Ommy Tabasamu na Ommy
Articles : 22
Since : 04/07/2015
Category : Jobs, Education & Studies

Articles to discover

End of an era: Mzee Ojwang passes on http://goo.gl/w0gUcR

MTUMAINI MUNGU

Mara mama akaanza kulalalamika maumivu ya kichwa na baba akaita gari na wakiwa njiani kuelekea hospotali yule mama akafariki. walipofika hospitali baba akaomba mama afanyiwe upasuaji wa haraka ili waone kama mtoto aliyekuwa tumboni angeweza kupona. Baada ya upasuaji wa haraka mtoto alitoka akiwa mzima na madaktari wakiwa wanashangaa baba aliendelea
WEMA HAUOZI-1 HADITH YA KUSISIMUA NA KUFUNDISHA

WEMA HAUOZI-1 HADITH YA KUSISIMUA NA KUFUNDISHA

Siku babu aliponialezea ukweli kuhusu maisha yangu, nilijihisi vibaya, nikajikuta najenga hasira moyoni, …sijui kwanini, ….kwanza hata babu alipomaliza kunismulia, mwanzoni nilihisi ni moja ya zile hadithi zake anazopenda kunismulia, lakini….. ‘Hiyo sio hadithi, huo ni ukweli kuhusu maisha yako….’akasema babu. ‘Kwakweli, sikuamini, ha
FULL VIDEO ya tuzo za KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2015

FULL VIDEO ya tuzo za KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2015

Ilikua June 13 2015 pale ambapo muziki wa bongofleva ulichukua headlines zake kwenye hizi tuzo ambazo hutolewa kila mwaka, kwenye hii video utaona walivyoshinda na waliomiliki stage BY Tabasamu Na Ommy (Publish by MAKAU JR) @tabasamunaommy.tz @tabasamunaommy/overblog

MTUMAINI MUNGU KWA MAOMBI

Baba mmoja alikuwa akila chakula kwa furaha na mke wake ambaye alikuwa siku za mwisho akijitazamia kabla ya kujifungua mtoto wao wa kwanza. Mara mama akaanza kulalalamika maumivu ya kichwa na baba akaita gari na wakiwa njiani kuelekea hospotali yule mama akafariki. walipofika hospitali baba akaomba mama afanyiwe upasuaji wa haraka ili waone kama mt