Not yet registered? Create a OverBlog!

Create my blog
Japhet Restus

Japhet Restus

Author / Business Man / News Writer japhetrestus03@gmail.com
Associated tags : sport, story za town

Blogs

japhetrestus

japhetrestus

news editor / an entrepreneur/ author and sport fan.
Japhet Restus Japhet Restus
Articles : 135
Since : 08/09/2015
Category : Sports

Articles to discover

Zlatan Ibrahimovic aongelea kuhusu ligi kuu ya Uingereza

Zlatan Ibrahimovic aongelea kuhusu ligi kuu ya Uingereza

Zlatan Ibrahimovic anaamini ameliteka soka la Uingereza ndani ya kipindi cha miezi mitatu tangu alipotua Manchester United. Mshambulizi huyo wa United amesema hana malengo binafsi yaliyobakia kwake badala yake ameelekeza nguvu na akili zake kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza. Ibrahimovic, 35 amekuwa na ushawishi mkubwa tangu alipotua Uingereza
The Alchemist Cookbook

The Alchemist Cookbook

kwa wale wapenzi wa filamu, kuna movies inakuja inaitwa the alchemist cookbook. ni moja kati ya movies bora kabisa unaweza kuangalia trailer yake hapa The Alchemist Cookbook Trailer - 2016 Horror Movie Subscribe for more: http://www.youtube.com/subscription_center?add_user=NewTrailersBuzz About the Alchemist Cookbook Young outcast Sean has isolated
Nchi Tajiri zaidi Duniani kwa mwaka 2016

Nchi Tajiri zaidi Duniani kwa mwaka 2016

Nchi kumi zinazoongoza kwa utajiri Duniani 10. Saudi Arabia 09. switzerland 08. united states of America 07. united Arab Emirates o6. Norway 05. Kuwait 04. Brunel 03. Singapore 02. Luxembourg 01. Qatar unaweza kuangalia video hii kuziona nchi hizo 10. Saudi Arabia Per capita income: $56,000 Saudi Arabia has an oil-based economy with solid governmen
man united kachapwa na west brom goli moja

man united kachapwa na west brom goli moja

ni matokeo mabovu kabisa kwa club ya man united kwani katika mechi hii man united wamepambana sana kupata matokeo lakini walikuwa sio wazuri sana, man united walicheza pungufu katika dakika ya 26 juan mata akipewa kadi nyekundu. kipindi cha kwanza kiliisha kwa droo ya bila bila. kipindi cha pili kilianza kwa kasi sana na dakika ya 67 S.Rondon akati
Nchi zinazoongoza kwa Idadi kubwa ya watu Duniani

Nchi zinazoongoza kwa Idadi kubwa ya watu Duniani

zifahamu Nchi zinazoongoza kwa idadi kubwa ya watu Duniani, Nchi inayoongoza kuwa na Idadi kubwa ya Watu Duniani ni China, Kwa ripoti zilizotokwa kwa mwaka huu 2016 nchi ya China ina watu Takribani 1,367,485,388. zifahamu nchi nyingine Kumi kwa kuangalia Video hapo chini. Top-10 Most Population Country in The World New 2016 by world'$ Top-10 Video
viwanja vya ndege bora africa

viwanja vya ndege bora africa

1. OR TAMBO INTERNATIONAL AIRPORT (ORTIA), JOHANNESBURG - AFRIKA KUSINI. Kiwanja hiki ndicho kiwanja bora zaidi Afrika na kina uwezo wa kuhudumia zaidi ya watu Milioni 17 kwa mwaka na kwa sasa kiwanja hiko kimefanyiwa marekebisho na kuongezwa miundo mbinu na kukifanya kiweze kuhudumia zaidiya abiria Milioni 28 kwa mwaka. Hata hivyo, ORTIA ndicho ki
Pesa wanazolipwa wasanii wa Ulaya katika show zao

Pesa wanazolipwa wasanii wa Ulaya katika show zao

Mastaa wa muziki nchini Marekani kila siku wanazidi kutengeneza pesa kutokana na kazi zao ikiwemo mikataba ya showz mbalimbali wanazozifanya. Ili kuhakikisha haupitwi na chochote mtu wangu nakusogezea hii kuhusu kiasi cha pesa wanacholipwa mastaa wakubwa kama Drake, Rihanna, Beyonce, Nicki Minaj, Jay Z na wengine wengi ili kufanya show moja tu. Ina
Diego Costa Ataka kuhamia ligi kuu ya China

Diego Costa Ataka kuhamia ligi kuu ya China

Mustakabali wa Diego Costa kwenye klabu ya Chelsea umekuwa na maswali mengi baada ya nyota huyo wa kimataifa wa Hispania kuchanganywa na ofa nono kutoka Ligi ya China. Costa, 28, alihusishwa vikali na tetesi za kutaka kuondoka Chelsea majira ya joto, lakini hatimaye alibakia London na amefunga mabao 14 Ligi Kuu Uingereza kuipeleka Chelsea kileleni
New movie from Vin Diesel  The Return of Xander Cage Official Trailer 1 (2017) -

New movie from Vin Diesel The Return of Xander Cage Official Trailer 1 (2017) -

kwa wale wapenzi wa movies. yule mkali wa movies Vin dieses anawaletea movies mpya inaitwa The Return of XXX. ni bonge moja la movie ina toka mwenzi huu wa kwanza. kama bado ujaona trailer ya movie hiyo nimekuwekea hapa xXx: The Return of Xander Cage Trailer 1 (2017) Vin Diesel Action Movie HD [Official Trailer]
barcelona yashinda 4 kwa 0 dhidi ya elbar

barcelona yashinda 4 kwa 0 dhidi ya elbar

barcelona imeichapa club ya elbar kwa magoli manne kwa bila. magoli ya barcelona yamefungwa na Munir dakika 8, Mess 41 na dakika ya 76 kwa penalt na suarez akiweka kamba ya mwisho katika 84. hivyo barcelona waendelea kujichimbia kileleni mwa La Liga.