Not yet registered? Create a OverBlog!

Create my blog
elipidius geofrey

elipidius geofrey

IT student in mlimani school of professional studies.

Blogs

STARZTZ

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974
elipidius geofrey elipidius geofrey
Articles : 1514
Since : 21/02/2016
Category : Marketing & Social Media

Articles to discover

MIND SET

MIND SET

Hellow my friend, i hope your fine enough. I would like to welcome you in this short altitude i got to day, let share together this. I love the quote from Brain Tracy "they don't care how much you know until they know how much you care". I totally agree with the article which is - Go with understanding first and works later. This will help you if y
ACHA NIKUFUNGUE

ACHA NIKUFUNGUE

Habari za muda ndugu yangu? Kama kawaida yangu naomba nikufungue kwa jambo hili ndugu yangu na msomaji mzuri sana wa makala zangu. Kila zuri lazima liwe na mwanzo wake mgumu, usiogope kukutana vikwazo wala changamoto katika njia yako ya mafanikio. Malanyingi mtu akiwa anaanza kazi yoyote kwa mala ya kwanza iwe ni biashara au kazi ya kuajiliwa hukut
WONDERFUL DROPS

WONDERFUL DROPS

Habari za asubuhi ndugu msomaji wamakala zangu. Karibu tuungane tena kwaajili ya kukumbushana baadhi ya mambo muhimu tunayopaswa kuyafaya. Katika makala zangu za leo nimekwandalia darasa moja zuri sana la ufahamu na kuchekecha akili, embu tuone hii na tujifunze kitu hapa. Look at these wonderful drop They are separate and yet one. They are big and
SECOND:   CHALLENGES

SECOND: CHALLENGES

This i'll tell it to you to day " The big difference shows when it comes to peace of mind. Bad guys do not have as much peace of mind as good ones. Vice destroys / deprives us of peace of mind Virtue generates it We were all made to survive. Our body, our mind, our senses Challenges in life do not depend on vice or virtue But on top of that we were
FUNGUKA!!

FUNGUKA!!

Habari za muda huu mpenz msomaji wa makala zangu!! Natunaini hujambo kabisa. Leo nakukaribisha tuweze kujifunza kwa pamoja au kuyajua machache niliyokwandalia siku ya leo. SOMO: "Sioni sababu ya wewe kumweleza kila mtu shida zako, unajua ni kwanini? kwasababu hakuna zuri lijalo bila baya, hakuna mwenye kufanya yaliyosawa kila siku. Chamsingi kujua
CHALLENGES

CHALLENGES

Hellow my friend!!! i think your good enough to day. Would like to take this opportunity to say thank you for reading my inspirations messages and to welcome you back. Lets be together to day and share this a bit i prepared for you to day. "Challenges seem to come equally frequentto good people as to bad people.True. Some people feel that good peop
29 JUNE, 2020 SHULE KUFUNGULIWA

29 JUNE, 2020 SHULE KUFUNGULIWA

Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr John Pombe Magufuli, leo katika kufunga Bunge la awamu ya 5 likiwa ni Bunge la kumi na moja (11), ameeleza kuwa mnamo Juni 29, 2020 Shule zote kufunguliwa. Aidha baada ya kusema hayo ameongeza akisema sasa na Ndoa ziendelee kama kawaida
KIOO

KIOO

Habari za wakati huu ndugu msomaji wa makala zangu. Naomba leo tujifunze vitu vichache hivi lakini vyenye kuwa na maana kubwa katika maisha yetu ya kila siku. KIOO: Ndugu msomaji wa makala zangu najua utakuwa unajiuliza nikwanini leo nimekwandikia huu ujumbe lakini najuautajua baada ya kusoma mpaka mwisho. Kioo ni kifaa tukitumiacho kujitazama, je

TUJIFUNZE

Habari za wakati huu mpenzi msomaji wa makala zangu. Nakuomba leo tuungane kidogo katika darasa hili la leo. Ndugu msomaji leo naomba nikueleze kuwa "Ukifikilia kwa kina sana juu ya makosa yako utaweza kujifunza vitu vingi sana, ni mekaa nikafikilia nikaona kwamba wakati mzuri wa mtu kujifunza ni pale anapokosea. Siku . zote kosa linapaswa kutengen