Not yet registered? Create a OverBlog!

Create my blog
tutusi

tutusi

IT

Blogs

jogoonews.over-blog.com

news,sport,footbal,video,picture,comedy,ubbuyu,vichekesho,habari,taaria,breaking news
tutusi tutusi
Articles : 8
Since : 21/04/2017
Category : Marketing & Social Media

Articles to discover

Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

Bongo5 Media Group, inakutangazia nafasi za kazi zifuatazo; 1. MHARIRI (nafasi 2). Sifa: -Awe na Shahada (degree) ya Uandishi wa Habari kutoka chuo chochote kinachotambulika na Serikali. -Awe kwenye kazi ya Uandishi wa Habari kwa mfululizo kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu(3). -Awe na uzoefu wa kazi ya uhariri wa habari kwa angalau muda wa m
Kwaher fc barcelona

Kwaher fc barcelona

Timu ya Juventus imeweza kucheza mpira safi wa kujihami na kufanikiwa kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuilazimisha sare tasa Barcelona katika dimba la Nou Camp. Ikiwa ishafungwa 3-0 katika mchezo wa awali, Barcelona ilishindwa kufanya miujiza iliyoifanya katika hatua ya 16 bora baada ya kuitoa Paris St-Germain licha ya kuf
Madhara ya kutokuka chakula milo yote

Madhara ya kutokuka chakula milo yote

Watu wengi, hasa wanawake wanaamini kuwa ili upunguze uzito wa mwili kwa urahisi na kwa haraka zaidi ama kubakia katika umbo zuri na lenye mvuto ni lazima kuruka mlo mmojawapo kati ya Chai ya asubuhi, chakula cha mchana, au chakula cha jioni. Kwa mujibu wa myaalamu wa lishe kutoka ‘Family Nutrionist Uganda’, Jamiru Mpiima anasema kuwa kuacha k
Masogange tena

Masogange tena

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa Agnes Gerald Waya maarufu kama Agnes Masogange (28) baada ya kushindwa kwa mara ya pili kufika mahakamani wakati kesi yake ikipangwa kutajwa. Upande wa Jamhuri ulimwambia Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbroad Mashauri kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa jana lakini mtuhumiwa, wadhama

karibuni nyoote
Monaco fc to sermi final draw!

Monaco fc to sermi final draw!

Monaco imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza 2004, baada ya kucheza mchezo safi wa marudiano dhidi ya Borussia Dortmund na kuibuka na ushindi wa magoli 3-1. Monaco ikiwa na matokeo ya magoli 3-2 katika mchezo wa kwanza, ilipata goli lake la kwanza kupitia kwa kinda Kylian Mbappe na kisha baadaye Radamel Falcao akaonge
Madhara ya kutokulala usingizi wa kutosha

Madhara ya kutokulala usingizi wa kutosha

Kulala ni muhimu kwa mwili kama ilivyo kupumua. Unapokuwa umelala, ubongo wako hushughulika na afya yako ya mwili na akili ili ukuandaa kwa siku inayofuata. kwa watoto na vijana, homoni ambazo huchochea ukuaji huachiliwsa na mwili wanapokuwa wamelala. Homoni hizi husaidia kujenga misuli, na pia kuzitengeneza seli na tishu zilizoharibika. Kulala ni
Mambo Yanayosababisha gari kula mafuta mengi

Mambo Yanayosababisha gari kula mafuta mengi

Mafuta ni kimiminika muhimu kuliko vitu vyote katika gari. Ili gari liweze kufanya shughuli zake zilizokusudiwa ni lazima liwe na mafuta. Uwepo wa mafuta hulifanya gari kutekeleza majukumu yake kama vile kuiwezesha mifumo mbalimbali ya gari kufanya kazi kwa ufasaha na kulifanya gari kutembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Kwa kawaida kila gar